haina tofauti na eastleigh ,,,izi fujo zote ni zanini?dar ni mji hauna mpangilio kabisa.mambo gani sasa haya?Hio picha my friend ya miaka 10 iliopita unataka kuiona kariakoo ya leo ndio hio
Usifoece dar 90s iwe ya 2017 ahahahhahaahahView attachment 501477 View attachment 501478 View attachment 501479
We had too many of this busesKBS in the 90s
Umefunika vibaya mno. π
Foreign minister tower opposite JNICCOyaa nmeona crane apo kwenye huo mtaa ,sijaona render lakin
Yu have render?ebu weka tuone likiishaForeign minister tower opposite JNICC
ππππππππ sasa ndo utoe povuuuuhaina tofauti na eastleigh ,,,izi fujo zote ni zanini?dar ni mji hauna mpangilio kabisa.mambo gani sasa haya?
dar nipabovu mno...iyo ndio city center na haina mpangilio...ππππππππ sasa ndo utoe povuuuu
Jiji LA biashara lazma liwe na watu wengi na fujo lazma ziwepo.........
ππππ sio dar ile ya 90s hiii dar mpya baba utatoa mapovu bure 2017 leodar nipabovu mno...iyo ndio city center na haina mpangilio...
haamini anachoona
okay....you win.dar peke yake ndio iko 2017ππππ sio dar ile ya 90s hiii dar mpya baba utatoa mapovu bure 2017 leo
sasa io nyumba ya ccm ndio muifananishe na ya jubilee.nyi ni vilazahaamini anachoona
Na hio sio makao makuu my friend ccm wana majengo zaidi ya 200 hehehheh kua mpole hapa umefika kwnza umeona conference center yaoπππππππππsasa io nyumba ya ccm ndio muifananishe na ya jubilee.nyi ni vilaza
ππππππ kua mpole speed za nini hehhheokay....you win.dar peke yake ndio iko 2017
Walifkiri wao ndio wana vizuri unajua ukiangalia jiji LA dar limekua kimya kimya we unafkiri mkenya gani alikua anajua miaka 10 tunajenga nchi hehehhe walijisahau sanaπππππhaamini anachoona