Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole sana kwa kujua leo kua mlimani ni mali ya udsm hahahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Asante kwa uongo , latest report[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Leo nimecheka sana,ati Milimani ni ya UDSM [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu uzi utakuwa umeletwa na mashabiki wa Kenya maana majibu yangu kwa mdau yamepelekwa kwenye ile ligi ya nani zaidi kati ya Kenya na Tanzania.. kule watu wazima wanatishiana wanasesere kama watoto.
so, ume-catch??? au?
 
Mlimani city inakuumiza kuskia ni mali ya udsm hahahah kumbe ulikua hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Leta ushaidi kuwa ni ya UDSM [emoji23][emoji23][emoji23]. Porojo hatutaki hapa leo
 
Watu wamenuna kuskia mlimani ni mali ya udsm hahahahhaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…