Eti the second largest city in East Africa? unahitaji therapyHassan Joho is the Governor of the Second Largest city in East Africa, Mombasa. He is in Nairobi Kenya on Blue Economy Conference
View attachment 949604
JM MALL. Reminds me of my childhood. Used to come with my siblings at Nandos. Sidhani kama bado ipo siku hizi.a normal day in DSMView attachment 949602
wala hajakosea ndio alivyomaanisha. Kuna watu humu wana mental illnessesSec largest in Kenya, you should rephrase u r article
nilitegemea ulete whisky au rum au vodka. lakini kwa vile hujakomaa kiakili, unaleta mambo ya kitoto. endelea hivo hivoWewe mtu mzima kula githeri tuache watoto tule vanilla, inakusumbua nn hasa
Mentall illness ofcz and to be more specific the guy z suffering from schizophrenia cause he has some sign of flight of ideaswala hajakosea ndio alivyomaanisha. Kuna watu humu wana mental illnesses
We bwana lakini una akili!?Eti the second largest city in East Africa? unahitaji therapy
Nilileta hapa mkasema mm bar maid I was shocked ,you guys hamuishi ujinga...hata nikileta nn hutaacha kuongea mbayanilitegemea ulete whisky au rum au vodka. lakini kwa vile hujakomaa kiakili, unaleta mambo ya kitoto. endelea hivo hivo
Usibadilishe topic, unahitaji therapy. Unaofanya ni utoto kabisa. Mombasa ni the second largest city in EA?We bwana lakini una akili!?
ati barmaid?! krkrkrkrkr...Nilileta hapa mkasema mm bar maid I was shocked ,you guys hamuishi ujinga...hata nikileta nn hutaacha kuongea mbaya
And btw siwez kunywa OH daily sometimes nameza vitu nyororo kama niece wako as you said and it's just fine with me
Mombasa yenyewe inachapwa na KampalaUsibadilishe topic, unahitaji therapy. Unaofanya ni utoto kabisa. Mombasa ni the second largest city in EA?
Mm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi ni madhara za pombe mingi tule kwa kiasiati barmaid?! krkrkrkrkr...
btw, tot moja ya whisky after a long day's work sio mbaya. na mimi huwa sinywi kulewa but just to get tipsy kiasi
Megacity ni City iliyo na population zaidi ya 10m+. sasa sijui dar ina population ya watu wangapi vile...
ukianza kuangalia magonjwa yanayoletwa na na ukunywaji wa pombe, hautakunywa pombe. mimi huwa naji-moderate. too much of something is bad.Mm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi kiyuMm hua nameza kabisa sijui kuonja pombe..nowadays napendelea zaidi Gordon (dry gin)but kuna alcoholic fat liver bila kusahau lives cirrhosis incase hujui hizi ni madhara za pombe mingi tule kwa kiasi
Yes tule kwa kias [emoji41]ukianza kuangalia magonjwa yanayoletwa na na ukunywaji wa pombe, hautakunywa pombe. mimi huwa naji-moderate. too much of something is bad.
Library ya KU iko sexy....hiyo ya Tanzania inakaa so 1930'sDo you have any manners!? Or you are ignorant!?
The only post modern Library in Subsaharan Africa is The KU Library in Nairobi Kenya.
View attachment 949577View attachment 949578
View attachment 949570View attachment 949572View attachment 949574View attachment 949576
Mmegeuka hecklers....lol.Iyo library ya sekondari ndio unatamba nayo?
well hata kama ina look ya gereza sio shida
Just some tanganyika town
so kwa hio munafanya ya kwenu huku mukiangalia jirani amefanya yepi eti, au???Kwanza treni yetu haitakuwa moto wa kuotea mbali, labda kama unafananisha na ya Kenya tu, tusipende kudanganyana.
damn right forsho!Kenya walijipanga kwa kujenga majengo ya vituo vyao vya garimoshi vyenye mvuto na nafasi ya kutosha. Hawana tofauti kubwa katika ujenzi huo ukilinganisha na vituo vyetu vilivyojengwa kwenye reli ya TAZARA na hasa Dar es salaam na Kapirimposhi. Vituo vilivyojengwa kwenye reli ya TAZARA pamoja na uzuri wake na nafasi ya kutosha kwa wakati huo, historia imethibitisha kuwa havikuwahi kutumika kama ilivyotarajiwa. Kama kwenye reli mpya wameona umuhimu wa kujenga vituo kulingana na uhitaji, nadhani ni jambo la heri, kuliko kuweka kituo chenye hadhi kubwa na badaaye kutotumika kikamilifu.