Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I utahangaika sana we know what you are saying but do you know what we are saying kenya has high quality of life than tz
Nenda kasome halafu ndio urudi kwangu kunipa challenge maana naona hata huelewi maana ya quality of life ni nini.
 
Hapo hawawezi taka kuskia....wanajitia hamnazo. Na naskia diamond pia ameangukia ka slay queen ya Nairobi [emoji23][emoji23]kiba pia alinyakua slayqueen wa Mombasa....Lol. huko tz hawajaona mtu [emoji1787][emoji1787]
Maybe wa kwao ni what we call beauty without brains. Wengine hutumia ushirikina ndio wapendwe.
 
Wewe na yeye nani mbwa? Domo zito kama umemeza kokoto. Unaweza kuwa mkenya huna lolote.
Aiseh.... krkrkrkr
but mbona awe Mkenya na si Mrundi au Mnyarwanda?!?!?!?
kwani una kisasi na Wakenya?
 
Ukienda jukwaa la Kenya wa TZ tulikuwa tunawatukana sana kuhusu reli yao ila ndo hivyo
true story bruh!
walitukana mamba na mto hawajauvuka.... smh!
anyway, he who laughs last laughs the best. can't wait for the party to begin
 
utashangaa sana....
na bado!
utajua kwa nini nyinyi ni ldc na mtabaki kuwa hivyo kwa miaka ishirini ijayo
 
The ultra modern and the biggest library in africa anaebisha aseme hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Do you have any manners!? Or you are ignorant!?
The only post modern Library in Subsaharan Africa is The KU Library in Nairobi Kenya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…