Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakuingia akilini kweli???? 👇👇👇👇
Tuna gas pipeline kutoka mtwara to dar hatujawah sikia imevuja tuna oil pipeline from dar to zambia hatujawah sikia imevuja sasa kwanini kenya kila kitu ni mess👇👇👇

Kwasababu kenya tuko na middle class kubwa na magari mengi demand ya mafuta iko juu sana hahahahahahaha umeridhika ama unataka niendele kuexplain kwa nn tuko na oil leaks nyingi
 
Ebu leta picha za ujenzi ya hoima tanga pipeline last time i heard the Russian investors had pulled out
 
Kwasababu kenya tuko na middle class kubwa na magari mengi demand ya mafuta iko juu sana hahahahahahaha umeridhika ama unataka niendele kuexplain kwa nn tuko na oil leaks nyingi
Magari kitu gani watu tunagari lakin kwa siku lita 3 tu inatosha utasema na ww umetumia mafuta
 
Magari kitu gani watu tunagari lakin kwa siku lita 3 tu inatosha utasema na ww umetumia mafuta
Cjasema hamna magari nimesema tuko na magari mengi kuliko tz kenya is the largest importer of vehicles in east africa ama bdo unapinga
 
Hizo takwimu ulifanya na baba yako....?

Unguja,pemba,mafia n zanzibar[emoji2][emoji2][emoji2]
Cjasema hamna magari nimesema tuko na magari mengi kuliko tz kenya is the largest importer of vehicles in east africa ama bdo unapinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…