TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Hyo c shida ichoboy biashara lazima ikuwe na profits na loss sgr itajengwa tu na mwaka ujao itaregister profit unicheke ikimake loss tenaHata mungesafirisha watu milion 10 lakini madamu hii kitu ipo basi mutasota sanaπππππππππππππ
Wapi ichoboy hii sgr ndio juzi ilifikisha wateja million mbili nadhani uliona hyo Kenya haijashindwa na deni deni tutalipa nilikuambia wakati utasikia China inataka kuchukua bandari ya Mombasa ama jkia uje unicheke SAA hii bdo Uhuru amechukua loan ingine ajenge expressway ya Nairobi to Mombasa so madeni tutalipa
Hyo c shida ichoboy biashara lazima ikuwe na profits na loss sgr itajengwa tu na mwaka ujao itaregister profit unicheke ikimake loss tena
Wapi ichoboy umeme c tatizo Kenya ebu nioneshe mahali penye umeme ni tatizo kubwa halafu tucompare na tz kenya electricty is very cheap token ya shillingi hamsini uko sawa sanaUsitumie neno 24 hrs wakat bado umeme kwenu ni tatizo kubwa tuπππ
ndio,huwa wanasema kuwa na watu wengi sana ni vizuri,lakini kwa mimi kuwa na watu wachache wanaotawalika ni vizuri zaidi,juzi hapa nilienda cape verde kwenye ile mechi ya stars,aisee watu wa kule wanamaisha mazuri aisee yaani kama ulaya tu..yaani kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hiyo nigeria giant wa afrika wanasubiri sana kwa cabo verde!Ndio maana uchache wao umekua na unafauu sana,siunajua apa Tz mbali na towns vijijin ni shida tu
Ni vizuri pia ukipost real photos za kenya hapo kando pia post real photos za tanzania piaToday I am exploring Kenya counties, I will only be posting real photos instead of the carefully selected photos they upload in here..
Tanzania nje ya Posta ni pathetic too.nchi yoyote ile yenye population ndogo ina uwezekano mkubwa kwa wananchi wake kuwa na maisha mazuri,tazama cape Verde,ina uchumi mdogo lakini wananchi wake wanamaisha mazuri kuzidi nchi yoyote afrika mashariki na kati,lakini huwezi kusema wamewazidi nchi ambayo ina population zaidi ya mil.50,hii population si rahisi kui-control,hebu imagine maendeleo yaliyofanywa Tanzania nzima,Tanzania ingekuwa ni ndogo Kama Botswana ingekuwaje??,tunapoangalia maendeleo tunaangalia na demand pia..Gaborone ni nzuri sana,hasa usafi,lakini haiwezi kumatch na dar..Botswana nje ya Gabor ni hatari tupu..
Ukimaliza utauambie nianze za tzKitale city, Kenya
Yaani Kila pembe ya Kenya ni ufukara wa kutupwa,mwanzo mimi nilidhani slums ni Nairobi pekee, kumbe ni extension hadi Kwenye counties
View attachment 944646View attachment 944647View attachment 944648View attachment 944649View attachment 944650View attachment 944651
sasa si bora na tz,hiyo kenya kuanzia cbd hadi ushagoni ni pathetic hakuna dustbin wala garbagecrowler ni mrundiko wa taka na flying-plastic bag toilets..Tanzania nje ya Posta ni pathetic too.
Sgr itamake profit ww tulia tu mwaka ujao ikimake 10billion loss kuja unitag saa hii bdo game nichangaSo mulitegemea nn milikopa ili mupate hasara au??? Maneno ya dr ndii kweli yametimiaππππππ
wanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga.Engineers wanaochezea maisha ya wakenya[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ni supu ya albino ndo inafanya ufikirie hivi ,?sasa si bora na tz,hiyo kenya kuanzia cbd hadi ushagoni ni pathetic hakuna dustbin wala garbagecrowler ni mrundiko wa taka na flying-plastic bag toilets..
Ndio man,mkiwa wengi basi ni tabu maana wengi hua wavivu na tegemezindio,huwa wanasema kuwa na watu wengi sana ni vizuri,lakini kwa mimi kuwa na watu wachache wanaotawalika ni vizuri zaidi,juzi hapa nilienda cape verde kwenye ile mechi ya stars,aisee watu wa kule wanamaisha mazuri aisee yaani kama ulaya tu..yaani kwa maisha ya mtu mmoja mmoja hiyo nigeria giant wa afrika wanasubiri sana kwa cabo verde!
UsijaliSamahani
Ukimaliza utauambie nianze za tz