Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
NOPE CRAW UNDERAti hii ni flyover? [emoji23][emoji23][emoji23]
NOPE CRAW UNDER
Hahahaha ondoa uchafu huu...hii kaonyeshe kina Malawa na Burundi wataduwaa.
sawa comedian inspector mwala.... tumekusikia.Tanzania watu hawana hela ya kuhudhuria such shows kisa unakurupuka hapa eti Kenya oh Kenya kumbe sisi ndio tunawalisha wanamuziki wenu pamoja na omba omba.
Kichwa panzi wewe hio sio safari ya India hata kusoma huwezi?Tena sio november yani hamisha magoli.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Tigo fiesta [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 941411View attachment 941410View attachment 941409View attachment 941412
hahahaha... hahahaha.... hahahahaAhahha umeomba show nimekuletea sasa unaruka tena tuliza .....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 941422
kwa hiyo tukusaidiaje kilaza wanjala?Naona hamna jipya humu. Wacha niwajuze yaliojiri nchini Kenya. Nchi iliyo na ustawi mkubwa kuliko yoyote ukanda huu.
Kuwasili kwa magari aina ya Mack armoured vehicles, ni mengi tu jinsi mnavyo tizama hapa kwenye picha
View attachment 941428
Asante kwa kuwa makini Mkenya anapokuambia kitu cha ukweli.sawa comedian inspector mwala.... tumekusikia.
November ni india flightTena sio november yani hamisha magoli.
ππππππππππππUgly
Yeah I have seen it, it's uglyππππππππππππ
ANGALIA VIZURI AU VAA MIWANI
Alafu bado alshabab wanawanyuka tuππππππππNaona hamna jipya humu. Wacha niwajuze yaliojiri nchini Kenya. Nchi iliyo na ustawi mkubwa kuliko yoyote ukanda huu.
Kuwasili kwa magari aina ya Mack armoured vehicles, ni mengi tu jinsi mnavyo tizama hapa kwenye picha
View attachment 941428
November itaisha next week si mbali[emoji23][emoji23][emoji23]November ni india flight
Feb 19 ni china and thailand
Alaf nov to dec zinaingia ndege mbili mpya aina CS 300 kwa ajili ya african route
Soma vzr uelewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]