Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ndiyo bibi mjanja anayekesha JF na vijana kuliko mabibi wote wakikenya[emoji38][emoji38][emoji38]
Kama kweli wewe ni mkubwa sana Shikamoo, ila kama unatudanganya Basi uaache?


Alafu huwa upo jamiiforums kama masaa 18 what are you doing bibi??
 
Sasa huo unataka kukinganisha na kilimanjaro golf au......[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wacha ni cheke na pale hatujakuonyesha majengo bado sababu ni pakubwa kuna hotel zakibabe konki achana na huo uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…