Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kweli hizo ni picha za watu, kenya...hebu nionyeshe picha za watu wasokuwa wakenya
Labda utueleze ni vita gani muliopigana kupigania uhuru wa nchi yoyote africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ichoboy usiiguse upangaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wamesha anza kuludia picha wanazo post kwa kutumia angel tofautiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ichoboy usiiguse upangaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wamesha anza kuludia picha wanazo post kwa kutumia angel tofautiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo mm namjua acha aendelee kuokota picha za google amekuja na random pics ili tusihoji hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanjala hujaniambia hii jengo inaitwajeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huyo mm namjua acha aendelee kuokota picha za google amekuja na random pics ili tusihoji hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu wanadai wamesoma sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…