Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kubali kulala vichakani madamu tu ni kwako mpenzi kubaliana na hali yako penda cha kwako, pambana na hali yako bila kuyumbisha hali ya mwenzakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ichoboy kajinga. Asiyekubali kushindwa si mshindani. Kubali tz ni kichaka. Kwa urbanization mpo chini
Ahahhahah mm niliamini kwamba miaka 10 hii ya maendeleo hamutaamini nilitegemea hvo u know y nikikumbuka 10 yrs mlivokua mukitutukana na kutusema lakini leo vimeisha mumebakia kurusha ngumi za hewani na hasira kali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaona vile amehepa nilipomwambia aniletee skyline ya Mbeya their so called City..... Kichaka tupu. Kusifia mambo ya cha mamaa
Kwan kwenu city inamaanisha nini kua na overpass au???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajaza picha za Google bure kwenye server. That thing doesn't qualify for a city let alone a municipal
 
Unajaza picha za Google bure kwenye server. That thing doesn't qualify for a city let alone a municipal
Ndio maana nikakuuliz vigezo vyenu vya kua city ni nini au overpass???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majibu hunipi muda wote kilio
 
Ungeniambia nyinyi mliangalia nini kwanza. Sijui Kenya wanaangalia nini lakini najua vigezo vitatu muhimu zinazingatiwa
Anhaa kumbe hujui kenya wanaangalia nn sasa siku zote kama jambo hulijui uliza kwanza ueleweshwe au we hukuchezwa ngoma kwenu?????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…