Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Britam 200 plus mnara rytπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pinnacle big render thanks
 
Last week nilikuwa na jamaa yangu mkenya nlimwambia the same, why not design them in Kenya? nilimpeleka pale akemi akawa anashangaa view ya the Mighty Dizzim akaanza hizo stories za designed by Kenyans, hehehe sijui yumo kwenye hili jukwaa labda
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waswahili husema mfamaji haishi kutapatapa
 
Lakini we jamaa mara nyingi unakuwa mtu wa kusema vitu vya kitoto sana. Britam na Prism tuli copy ndio inamaanisha nini hivi. Tulicopy vitu gani!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]We bwana huachi kunishangaza.

I am confused, Hiyo prism was designed by Indian company, designed in India, by Indians, what do you mean when you include yourself, au na Wewe Wanjala ni Mhindi?
 
Lakini we jamaa mara nyingi unakuwa mtu wa kusema vitu vya kitoto sana. Britam na Prism tuli copy ndio inamaanisha nini hivi. Tulicopy vitu gani!!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”We bwana huachi kunishangaza.
Haujui kama britam na prism design yake mume copy wanjala acha kua na mambo ya kitoto bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…