Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Kumbe unafanyia uchunguzi kwenye junction??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nikadhani ni kweli mna magari mengi sana.

Labda niulize ulitegemea kuona peupe hapo??
 

Yafaa ujipe hata muda kutafiti mzee,tumia hata ramani utajua umeandika pumba.
 
Wacha kuropoka Yaani wewe kweli haujui lolote kuhusu Dar na isitoshe Dar siyo capital city

Dodoma ndiyo capital city of Tz
 
Hahaa. Kisumu is my home town. Niambie ni mtaa gani ulikuwa unaishi.
Kisumu started growing after the post election violence before that it had minimal growth but now it's on steroids.
Eldoret is also growing very fast same as Nakuru.
Kisii is also another force to reckon
 
What qualifies Dodoma to be viewed a capital city?
Tanzania are obsessed with big titles of their towns but if you take a closer look you are left wondering

Just asking...who made mbeya and tanga cities
 
Ahsante ya punda ni mateke. Baada ya hawa watu ku-donate hela za kuwazika wafu wenu nyie watanzia, hivi ndivyo mtawalipa?kuzianika picha zao kiholela huku mkiwacheka? Hamna shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…