Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wacha maneno ya mkosaji
Heiyaeee olelelelele
Alfajiri imefika
Anga inang'aa
Mvua inaanza katika
Ghafla tumbo LA jaa
Naweka sauti kwa spika
Niskize umbea wa dar
Mara simu inaita jina LA uncle twaha
Akisema............
 
Heiyaeee olelelelele
Alfajiri imefika
Anga inang'aa
Mvua inaanza katika
Ghafla tumbo LA jaa
Naweka sauti kwa spika
Niskize umbea wa dar
Mara simu inaita jina LA uncle twaha
Akisema............
Ba baa banjuka tu ba baa banjuka tu naweka shida chini natupa mikono juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…