Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Suzie si wewe nimeuliza. Nimeuliza mropokaji ichoboy. 46% Kenyans, huwa wanatoa hela wapi za kupatia ombaomba wenu kama hawana kazi?
Curiosity kills the cat,I've no idea abt beggars you're talking abt girl, kwanini msiwarudishe kwao kama wanawasumbua au nyie ndio mama huruma
 
in fact it's in Kenya where they always make lots of cash that's why wanapenda kukimbilia kuja huku. Diamond get's approximately Ksh. 600k in tz but akija huku, he gets 10times of that.
Kweli uongo ulizaliwa Kenya
 
in fact it's in Kenya where they always make lots of cash that's why wanapenda kukimbilia kuja huku. Diamond get's approximately Ksh. 600k in tz but akija huku, he gets 10times of that.
siku zote mfanya biashara anapo ona opportunity huifanya pale pale ndio maana leo diamond kaweza kufungua modern studio, modern Tv and radio station bila kusahau baadhi ya biashara zake hata anapokwenda america huenda kuchukua pesa sio kushangaa magorofaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘
 
Jichoboy let's reason together. 46% ni wakenya wangapi? Or rather first tell me the meaning of joblessness
Kwa nini isiwe wakati uchumi wenu hazingatii usawa kwenye umilkaji wa Mali Kenya, you have high level of Corruption.

Few Kenyas Own extensive amount of land whis i basic and very important in wealth creation
 
Suzie si wewe nimeuliza. Nimeuliza mropokaji ichoboy. 46% Kenyans, huwa wanatoa hela wapi za kupatia ombaomba wenu kama hawana kazi?
hua nashangaa sana mkiwakamata ethiopians munawarudisha makwao sasa hao hawana makwao na kama wana makwao mbona hawarudishwiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ munaficha aibu zenu kwa mzungu nyumba ya mgongo wa tanzania
 
Curiosity kills the cat,I've no idea abt beggars you're talking abt girl, kwanini msiwarudishe kwao kama wanawasumbua au nyie ndio mama huruma
hahahah unajua kwann hawawezi kuwarudisha kwasababu hao ni wakenya wenzao sasa wanafucha aibu kwa mzungu nyuma ya mgongo wa tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasamehe bure nyanyangu, bado hawana update information, sasa hivi wakazi wa Kibera wamefikia 3M. Samahani kwa hiyo under reporting.
naona umetoa habari za nyuma ya pazia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wataishia kurusha ngumi za hewani
 
hakuna mwenye ata-rent hilo jumba. in other words, that's a ghost house in the making
siku hzi umekua msajili wa makampuni tanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
mpigie Mondi simu amlipie Harmonize bill ya hoteli la sivyo ataendelea kuosha vyoo
 
we kwanza unajua dhununinla TPA building kazi yake wanataka mambo yote yanahusiana na port ofisi ziwe pale na zimejaa hata waziri wa uchukuzi amaekosa ofisi pale kwa taarifa yakoπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
unadhani ni TPA pekee yake ambayo haina tenants??? haha... hebu lete picha ya towers zenu usiku tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…