Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hta lupita nyongo ni mzawa wa Mexico ila babake ni gavana wa kenya....

Obama ni mzawa wa amerika ila anatambua kogelo km kwao na pia anatambua babake nmkenya...hhhhh!!!..

Bakhresa alizaliwa tz ila anatambua hko si kwao...

Mo kazaliwa bongo ila anatambua kwao ni wapi..unabisha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
View attachment 910247
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
Mkimbizi n mkimbizi tu...mababu zake hawaachi kumsimulia kilichowakuta kwao hadi kuja katika shamba la bibi kuchuma za wavivu...hhhhhj[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Asante kw kujitahidi
 
Utazunguka sana leo...naona umebanwa na choo ila huez hta kuondoka..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
leo kutamu sana hukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
mkimbizi wakat mzanzibari ahahahhahah maskini yaMungu pole sana leo kiwembe kimegusa vuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkimbizi wakat mzanzibari ahahahhahah maskini yaMungu pole sana leo kiwembe kimegusa vuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhh!!!mzanzibar tena...hhhh!!!kaja zama za wa man...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...leo nishajuwa sasa...bakhresa mumbe mu oman...ichoboy kakiri mwnywe leo
 

Acha ujinga kijana.kama mmejaza wachinya wengi kwenu mpaka mnachanganya haya mambo ni nyinyi na ujinga wenu.

Mo kazaliwa bongo-unajua baba na babu yakewamezaliwa wapi????wewe hujiulizi mpaka mtu anazaliwa eneo kama singida ni kwa sababu gani??? Au utasema alitoa rushwa aonekane amezaliwa singida[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].

Wacha mafeeling bana.
 
Hhh!!!mzanzibar tena...hhhh!!!kaja zama za wa man...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...leo nishajuwa sasa...bakhresa mumbe mu oman...ichoboy kakiri mwnywe leo
ukileta evidence kua bakhresa muoman nafunga acc jamii forumπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Imekuuma..mtafute atakupa vizuri hadithi ya mababu zao [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hhhh!!!imekuum
 
ukileta evidence kua bakhresa muoman nafunga acc jamii forumπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hhhhhh!!!mkimbizi huyo...mu oman...mababu zake walikatalia kurudi kisa bongo shamba la bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…