Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mimi hiyo surrounding imeniacha mdomo wazi...the nairobi you don't show us.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete mtaa wa chini dar ambao una flats km hzo..anyway tunajuwa ni tandale
 
Eti 30'000 hahahahahaha huo ni mshahara wa kibarua kwa siku 1 tu Tz.Walmu 350'000TSH+ shule za msingi za serikali,binafsi hadi 800,000TSH
 
eti kasarani ndio inafananishwa na modern stadium in east and central africaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kenya Oeh!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] GoooooL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…