Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Just go straight to the point & say "Wasikuje na kizungu Mingi" najua hio ndio mnaogopa plus naona itakuwa kibarua ku waleta JF yani wakenya huwa wamewadharau style ingine![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka ile battle ya naija na Kenya. Kuna watu walikuwa wanasema tz next. Watu wakapinga .
They said it is wastage of time .
 
KOT itawaanika dunia nzima wacha tuwahurumie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
They will be forced to pull this down if KOT [emoji451].
Kenyans beware. All the harassments here .These people are cyber bullies.
There are some mods passing themselves as ordinary members
 
kizungu mingi na wengi wenyu ni majobless... ajira karibia yote ya madaraka express amekalia mchina... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuko Jobless lakini pesa wakenya wanaingiza imeshinda mishahara zenyu za pesa value less.
kizungu mingi na wengi wenyu ni majobless... ajira karibia yote ya madaraka express amekalia mchina... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na Vile wanija hawapendi mazuzu kama hawa
Wanaija na wabongo hawawezi anzisha battle yoyote coz ya language barrier. Kuna wasee fulan wa kibongo walikuwa wanajipendekeza kwa wanaija iyo tym kwa kutoa post za kuidhalilisha Kenya. Nobody even recognised their presence there. Hapa ndiyo naona wanatawala. Wakija fb au twitter wanaweza kipata wallahi
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³

 
We've beaten naija in BBA and music more than once. Mind you hiyo BBA ni kiingereza tupu. They are just many ila hawatuwezi man to man
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu enda Google the Main Hq iko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ImekuchomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo balozi wa Marekani Tanzania anapata kibali kutoka Kenya??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…