Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si mko na udaku nyinyi! Mnachoocha hio SGR'a yenyu as if kila mtu anawekewa kwa mlango yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mazee..hii kitu inajengwa ki ldc kweli...yani mwanagu mafuriko yakija yanasomba hyo reli..kitu kiko down sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si mko na udaku nyinyi! Mnachoocha hio SGR'a yenyu as if kila mtu anawekewa kwa mlango yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tulia budaaa mchezo huu hautaki hasira mm nakwambia mwakani mutalia machozi ya damuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
hehee!!we komaa na vitu vya january...ukweli wa april utabaki pale pale..tena source ni world..najuwa imekuuma..lkn pole kw hicho kidonge..hya ruka ruka tena
ahahahha january 2018 imekuuma sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
jamaa..hebu nipeni maelezo jinsi ya upload picha na video hapa jf..

ichoboy..naona unajitekenya...unatarajia kenya wanunue hvo vitu waeke pale likoni ferry...hvyo ni vyuma vya mwendo mrefu kijana
 
ahahahha january 2018 imekuuma sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

a wapi...labda tungekuwa ldc ndi ingeniuma..ila tatizo..we hutaki kuwa udated...km ilivyo nchi yenu nzima...wabongo kw usingizi tu..hamjambo
 
duh, huu mji n vumbi tupu, watu wenyewe maisha yao vumbi tu

mpiga dili mwengine hyo naye...mnaleta picha ambayo hta hamjui imepigwajepigwaje..leteni maelezo kamili kuhusu hyo picha...hya rukeni rukeni..ila kupindisha maneno mnaruhusiwa..hyo kwenu km dili
 
ujobless proper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…