Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sina shaka na wewe...ulishawahi kumtoa kamasi MK254 kwenye masuala ya programming.
 
Hii ni oysterbay Au Masaki? ...
Noma sana mkuu inabidi tupambane sana walau tusogee kidogo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Star wa Tz anamwaga mbele ya stage[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Star wa Tz anamwaga mbele ya stage[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 874187
Hehe ..harmo alishindwa kuzuia hisia... Kenyan girls are wild nnaowajua sasa sijajua at what %.. I once had a kenyan girl very wild..ila wengi si ma pini sana kama wa Tz
 
nipo nambie kadoda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona jamaa anatokwa kamasi maskioniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘
 
Zambia wanajenga dual carriage way 300km from ndola to Lusaka kwa $1.2Bln ...hakuna daraja kubwa wala nn je hii pesa hakuna ufisadi hapa?
 
Zambia wanajenga dual carriage way 300km from ndola to Lusaka kwa $1.2Bln ...hakuna daraja kubwa wala nn je hii pesa hakuna ufisadi hapa?
How many Lanes? If less than 8 hiyo ni overpriced.
 
nipo nambie kadoda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona jamaa anatokwa kamasi maskioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
jana mida ya usiku mambo yalikuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].... jamaa alitoa bonge la kituko.

eti katika maisha yako ya kutumia computer ulishawahi kusikia computer yenye RAM ya 1TB(one terabyte)?
 
Hawajatuambia iyo ya dar -kibaha 6lanes ni pesa ngap wanatumia japo ni 19km tu ujenzi unaendelea sahivi
 
jana mida ya usiku mambo yalikuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].... jamaa alitoa bonge la kituko.

eti katika maisha yako ya kutumia computer ulishawahi kusikia computer yenye RAM ya 1TB(one terabyte)?
duhhh ram ya 1tb hapo kachemk may b alimaanisha rom πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] What's even spacial about HP z820 ! Yani these desktops are just too ordinary. A good desktop should at least support a 1+ TB ROM backed up with a higher graphics processor than that! So mi sioni kitu ya maana hapa.
Haya sasa hawa ndo watu tunaofanya nao majadiliano humu..
Inaonesha we kilaza wa hali ya juu..
 
Hujui tunafwata nyaya za S.A[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuwashakuwasha. We are soon legalising it.
Duh sasa we jamaa ukianza kuvuta bange si utadata kabisa!!..maana hapo hauvuti lakini akili yako ina-stuck mara kwa mara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…