Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No sir!..that is what you asked right?...i hear you have started phase 2,how far is phase one.
zinajengwa zote mbili kwa pamoja kwasababu phase one tumetoa pesa wenyewe na phase two tumechukua soft loan so pesa ipo na zote ziko underconstructionπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Do you understand that you have only one plane for international flights while the rest are domestic,what make you think that you are equal to KQ?
do u think kq owned even a single aircraft??? wa usijidanganye ndege zote ziko under leased aggrements na je unajua sababu kubwa mpaka sasa miaka tano kq inaendesha hasara??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You are so scared of Kenya that you burn innocent one day old chicks and auction Kenyan cattle...you behave like little kids fighting over a toy!..bro we are in big league not local pubs type of naught!
hakuna nchi yoyote tanzania inaiogopa tuliban kwasababu mbili kwanza mumeingiza kuku wenye maradhi ili mtuletee magonjwa huku na pili mumeingiza kwa njia ya wiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sheria ni msumeno
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yani ndege za watu wanaita zao huku loss inawamaliza taratibu
kenyatta kawashika masikio sana, kenya inaongozwa na family friend wa kenyatta tangu uhuru, akili zao ni za kushikiwa!
 
pesa iko alaf debt to GDP ratio 60% pesa iko alaf 40% hawana ajira, pesa iko alaf below poverty line 43%, pesa iko alaf unakopa loan kulipa loanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
manyangau hayajielewi, yapo yapo tu.
 
kenyatta kawashika masikio sana, kenya inaongozwa na family friend wa kenyatta tangu uhuru, akili zao ni za kushikiwa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ katika miaka imewakalia vibaya hawa toka magu alipoingia madarakani wako kwenye hali mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…