Estates ni nini? Ni kota au nyumba zinazofanana? mmiliki huwa nani?mmekataa kutuonyesha estates zenu hadi leo.........tumewaonyesha south b,south c,buruburu,langata ,komarock,umoja,innercore ,donholm ,kasarani,githurai,roysambu na hata kibera......nyinyi mbona huwa mnakataa kupost pale 90% ya dar people wanapoishi....lol.......
mbezi beach na oysterbay ni kwa asilimia 0.5 tu
unauhakika au umeamua kufungua domo tuππππππππDar kuna 5* tatu pekee Nairobi over 20 5*...
Hui topic tulimaliza kitambo nyie size yenyu ni Kampala
Estates ni nini? Ni kota au nyumba zinazofanana? mmiliki huwa nani?
Sijui maana sisi huku wengi twajenga nyumba wenyewe hatununui tulio wengihahaha...........najua unaua mada ndio uhepe
za uswahili.......Sijui maana sisi huku wengi twajenga nyumba wenyewe hatununui tulio wengi
tafuta watoto wenzio anza kuwapa stori za abunwasiπππππππitabeba cargo? lol...........yetu ni 140km/hr yenu itakuwa electric ya 150 km /hr bila cargo...lol
kasafani nairobi ππππππππ
View attachment 867359View attachment 867360View attachment 867361View attachment 867362
hivi tukiwaomba estate mbona huwa mnapata hasira kali sana.....ama nilete ile video yangu ya ndegetafuta watoto wenzio anza kuwapa stori za abunwasiπππππππ
View attachment 867367
hongereni kwa flyover......dar hoyeee.........
anhaa endelea kutuonesha kasaraniππππππππππππpovu povuka.....leteni your real dwelling places where 90% of dar people live..................nahitaji ulete za mji wenu wa dar badala ya kupovuka
anhaa endelea kutuonesha kasaraniππππππππππππ
endelea kutudanganya ni 150 km per hrπππππππππππ kila mtu anajenga nyumba yake estate ni sehemu inayomilikiwa na mtu mmoja kuwapangishia wengine huku hatujazoea hvohivi tukiwaomba estate mbona huwa mnapata hasira kali sana.....ama nilete ile video yangu ya ndege
Sure!!!Serena ni Levo zingine, Sio Levo za Hawa Kibera.