El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Hahahahahaha ndiyo maana na nyie mlidanganywa na china mkajengewa mtambo wa gongo badala ya sgr!??! lakini penda usipende hii library ya UDSM ni kubwa mara 3 ya ku Library.
Anytime highway itafikishwa Dodoma taratibu kwanza maana pesa nayo inasumbua. ..si mjenge kitu kama superhighway bana........thika road phase two to isiolo 468 kms is almost underway,,,,,,tanzania is just trying to copy our vision 2030 blueprint.....which is good......lets check the gdps in 5 years or 10 years time tuone nani alikuwa akibweka tu......lol
mungu anamuona kweli kweliWho designed these Uniforms God is Watching HimView attachment 867278
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tuwekee basi in sqm mbona Leo unaongea kisiasa sana[emoji23] [emoji23]in your head maybe.....but KU's is bigger
Hii yote no porojo....itachukua dar miaka 40 kufika kwenye Mombasa iko sai.....Jaman hali kenya sio nzur ..MSa port sgr View attachment 867256View attachment 867257View attachment 867258View attachment 867259
lol son of a bitch!!!!!! just you wait. You think we're gonna flaunt with antique trains like you guys??? hahahahahaaa your temper tantrums are hilarious. You are literally a kid. Go get some sleep
Dar kuna 5* tatu pekee Nairobi over 20 5*...Wanyoroshe bro Tuusan..watajua hawajui
Hii yote no porojo....itachukua dar miaka 40 kufika kwenye Mombasa iko sai.....
Meza pain killers kutuliza maumivu,UDSM LIBRARY IS THE LARGEST IN AFRICA.in your head maybe.....but KU's is bigger
Mombasa ina handle almost 3times cargo far ina handle alafu unataka kulinganisha Mombasa na uchafu?pita wimaInapanuliwa sahivi siunajua sgr yaja...iyo 40 tukiwangoja nyie Au
[emoji23] [emoji23] jamaa napenda summary zako uchwara sanaDar kuna 5* tatu pekee Nairobi over 20 5*...
Hui topic tulimaliza kitambo nyie size yenyu ni Kampala
Kumbe machizi kutoka kenya wapo wengi nilidhani ni mwasat pekee.daresalaam bado sana bana.......wameweka nguvu yote cbd wakasahau 90% ya mji...lol.......na huko lami ni nadra sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Who designed these Uniforms God is Watching HimView attachment 867278
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Chizi tu ndiyo utamkuta akiongea pumba kama hii. Hii Battle Dar imechapa Nai 10 nil.Dar kuna 5* tatu pekee Nairobi over 20 5*...
Hui topic tulimaliza kitambo nyie size yenyu ni Kampala
Hawa ndiyo wakenya wenye akili.. wanachambua mambo kwa kutumia vichwaJaman hali kenya sio nzur ..MSa port sgr View attachment 867256View attachment 867257View attachment 867258View attachment 867259
haya ndo makubwa ila madogo ni yale ya kuchimba shimo chini na kupitisha barabara juu na kuita flyoverHakuna kuishi kwa mazoea ukizembea tu kidogo inakula kwako. ..Leo hii maji yanatoka saa 24,umeme saa 24,barabara Za mikoa zote zinalami unatembea mda wowote ni ww tu, umeme unawaka mijini na vijijini kila mahali kuna huduma za afya sasa haya mambo madogo ukiweza yamudu hayo makubwa hayawezi shindikana
define fly over ...haya ndo makubwa ila madogo ni yale ya kuchimba shimo chini na kupitisha barabara juu na kuita flyover
mmekataa kutuonyesha estates zenu hadi leo.........tumewaonyesha south b,south c,buruburu,langata ,komarock,umoja,innercore ,donholm ,kasarani,githurai,roysambu na hata kibera......nyinyi mbona huwa mnakataa kupost pale 90% ya dar people wanapoishi....lol.......Kumbe machizi kutoka kenya wapo wengi nilidhani ni mwasat pekee.