Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wamekuja wenyewe hatuwafati waliko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wakenya waanza kusoma mziki wa Tanzania [emoji1241]
Hakuna kuishi kwa mazoea ukizembea tu kidogo inakula kwako. ..Leo hii maji yanatoka saa 24,umeme saa 24,barabara Za mikoa zote zinalami unatembea mda wowote ni ww tu, umeme unawaka mijini na vijijini kila mahali kuna huduma za afya sasa haya mambo madogo ukiweza yamudu hayo makubwa hayawezi shindikana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…