Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahahaha...you have nailed it bro...haki wewe sio mtu wa mchezo mchezo...mwisho wa siku jobless msapere ange claim kuwa hii picha ni yake anapata sima kwa nyama choma. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23]
Dude why is employement a big deal..bragging here on a mere 30k salary...we know the people who brag are very poor like u
 
TTTR!!! THIS IS MY BEST AUTO FABRICATORS SO FAR!
These guys literally convert your ride into something else, i have been a fan for a long time now....big up to these guys, ni wanoma sana nawatambua...
Wewe mlevi wa magari kama mm Hawa jamaa lazima uwape marks zao...Yaani washkaj ni kiboko yao hapa mjini
 
tupe ya 2017 au 2018 inayoonyesha idadi ya simba mlio nao kwenye mbuga zenu.

nakupa masaa 24,ukishindwa wewe ni kilaza. [emoji23][emoji23]

tuwekee na source, hatutaki statistics za kupika. [emoji23] [emoji23]
 
TWO RIVERS




NAKUMATT GALERIA (Watanzania najua mnashindwa hizi Nakumatt kwani zilikuwa ngapi zinafungwa na haziishi)




NAKUMATT RIDGEWAYS




WESTGATE MALL


 
Dude why is employement a big deal..bragging here on a mere 30k salary...we know the people who brag are very poor like u
wewe jobless acha povu bhana...nipo busy sana mda huu....tukutane jioni nikiwa kwa pub.
 
tupe ya 2017 au 2018 inayoonyesha idadi ya simba mlio nao kwenye mbuga zenu.

nakupa masaa 24,ukishindwa wewe ni kilaza. [emoji23][emoji23]

tuwekee na source, hatutaki statistics za kupika. [emoji23] [emoji23]
Why bring 2004 kenya and 2018 Tanzania..foolish argument
 
Wewe mlevi wa magari kama mm Hawa jamaa lazima uwape marks zao...Yaani washkaj ni kiboko yao hapa mjini
Napenda jinsi wanafanya kazi yao na high professionalism, na nawapa heko hasa nikiwaona wanavyokua kwa miaka...wanapata wateja hata kutoka Nairobi,wanakuja all the way...na mmiliki wa hio kampuni ni Kijana mdogo kweli
 
Napenda jinsi wanafanya kazi yao na high professionalism, na nawapa kongole hasa nikiwaona wanavyokua kwa miaka...wanapata wateja hata kutoka Nairobi,wanakuja all the way...na mmiliki wa hio kampuni ni Kijana mdogo kweli
Yeah wako vizur sana,sahivi wanapata hadi wateja wa Malawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…