Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lakini nyinyi mmeamua ku copywright kila kitu ya Kenya Railways Corporation including their colours,logo,website(krc.co.ke)???shame on you, always copying kenya

everything we do is well calculated. tulia hapohapo uone vile tunacheza michezo.
 
meanwhile, phase 2A

Attachments

  • 1536241479025.png
    234.2 KB · Views: 33
lakini nyinyi mmeamua ku copywright kila kitu ya Kenya Railways Corporation including their colours,logo,website(krc.co.ke)???shame on you, always copying kenya

Umesha ona logo ya kampuni za reli za Chile, Bolivia, Uzbekistan, Uruguay e.t.c. acha ushamba kijana
 
ohhh tanzania raha sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

maskini majirani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mzungu anachukua crude oil ya lokichar bure

Hii picha says it all, wajenzi 100% ni wachina wapo juu. Chini kabisa ya huu mradi kama ilivyo kwenye hii picha wako wakenya wachache ambao kazi zao ni ulinzi na kufanya usafi. Kwa kukubali ujinga huu mtu ata achaje kuwaita MONKEYS.
 
Umesha ona logo ya kampuni za reli za Chile, Bolivia, Uzbekistan, Uruguay e.t.c. acha ushamba kijana
I am a logo designer and i know copyright when I see one, it pisses me off.
Washamba ni wale hawawezi kuwa unique hata for once.your logo is a direct copy paste, si mngebadilisha hata rangi my friends.
then when we say you guys are lazy mnasema tunawaonea sana.

And if you think I'm bluffing, this is my photography logo. And i don't steal like you guys, i design it from scratch
 
Kenya manages to make a stronger showing in the winners list at the 6th 2018 Africa Magic Viewers' Choice Awards, grabbing 5 awards, including Best movie for 18 Hours.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maisha yao ni magumu sana hao hawana mbele wala hawajui nyuma pia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
kushindana na tanzania ni kukimbiza upepo

nairobi ndio kenya...huko mashinani hakuna anayejua.
 
Sasa wewe hapo ume design nini!? Hamna cha kukopi ni coincedence tu. Ukiangalia vizuri utaona tofauti. Logo designers wamejaa mtaani acha maneno mepesi
 
so TRC and KRC zinafanana maana au mbona wewe unakua boga sana ww logo ziko tofaut kabisa even design πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
what do you know about logos if you can't see what is obvious.
always in denial...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…