Hivi kweli mmekosa mambo muhimu ya kujadili? hii ina tija gani sasa?Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
middle economy... [emoji23][emoji23][emoji23]gari za kenyatta ndio zinachukua mafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
manyang,au ni manyang,au tumiddle economy... [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi hapa chini ni pikipiki?Huo usafiri DAR kwa sasa ni historia, Usafiri jiji kuu la DAR ni mabasi yaendayo kasi ambayo kwa kenya mnayaonea kwenye mtandao tu!
Naona Daladala zipo kwenye drag race.
Huo usafiri DAR kwa sasa ni historia, Usafiri jiji kuu la DAR ni mabasi yaendayo kasi ambayo kwa kenya mnayaonea kwenye mtandao tu!
hii ni historia nyang'au hamna kitu kama hiki DAR kwa sasa, tumewaachieni nairobiwaah
Na wasiojua kwamba hizi daladala hazijawahi kuwepo Dar hata siku mmoja... hizi ni za pale visiwani Zanzibar..hii ni historia nyang'au hamna kitu kama hiki DAR kwa sasa, tumewaachieni nairobi
Hawataweza. 😀😂😂😂 waonee huruma tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ama tuanzishe Facebook na twitter where Manyangau Go Wild! Watanzania watalia damu huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]just ask Nigerians
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 857736View attachment 857737
Sent using Jamii Forums mobile app
welcome to zanzibar.... [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]waah
Hio tower ni ya derm? Wale
Brt iko dar huku kwengine ni takataka tuKama hii hapa?
We kwani ulioa Kenyatta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenyatta mwenyewe hata ako kenya na usharopokwa hapagari za kenyatta ndio zinachukua mafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
We kwani ulioa Kenyatta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kenyatta mwenyewe hata ako kenya na usharopokwa hapagari za kenyatta ndio zinachukua mafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]