Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli Kenya ni failed state yaani projects za kijinga tu mnalipia hela kibao, ni hatari sana kuwa na raisi fisadi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] projects zetu ziko ns value because they set the Pace! Kama tungekuwa tunajenga projects za kijnga basi mngekuwa mbele yetu in the past & now but we are sorry mtazidi kuvuta mkia my friend

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuvuta mkia tz ni kitu mnapenda kuwaza,but sorry hii ni kitu haiwezekani.nimeona sehemu ukisema pineacle ikichomoza utafanya sherehe,ni kama kusema ni siraha pekee inayokupa hope????
 
very true....by 2020 we are poised to cross th 100 Billion mark...ni nchi 5 tu ambazo zimefika hapo so far...also, Pinnacle and Avic should be penetrating the skyline...hopefully we will have montave too
mzee wa pinnacle toka mwaka jana unakumbuka lakiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
tuwape miaka mitatu wakat kibera iko kwenye top 5 ya biggest slum in the world toka dunia imeumbwa mpaka itakapokwishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†
 
siku mkitoka kwenye hii list nitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Naimani wewe Ni kilaza
hivi hizo picha kwako zinashida ipi
kwanza mie nimezipenda ile mbaya
picha zinajibeba zenyewe
Angalia chini palivyo safi
angalia kina mama walivyo valia uhalisia wa Mtanzania
Endelea kuzipost Itapendeza sana tu
 
Naimani wewe Ni kilaza
hivi hizo picha kwako zinashida ipi
kwanza mie nimezipenda ile mbaya
picha zinajibeba zenyewe
Angalia chini palivyo safi
angalia kina mama walivyo valia uhalisia wa Mtanzania
Endelea kuzipost Itapendeza sana tu
heri ya huyo mama kabeba samaki kwenda kufanya biashara kuliko mkenya mwizi alaf anakamatika anapoteza uhai wake
 
Leo naonelea instead of kujirudia rudia na kugombana lets debate on different stuff like the uniqueness of both citie Nairobi & Dar. Kuna kitu moja spacial iko Dar that you don't see in any other City in The world same to Nairobi. A culture that defines the city.
In Nairobi we see these beasts roaming the streets called Manganya. Talents are expressed in the city through the Industry. And has created employment for thousands of youths allover the city.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kujikumbusha mambo yenye maana kwa wananchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
tanzania







south africa








nigeria








kenya failed stateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
walijua BRT ni kama kula bajia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…