Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapa ni wapi naona ushaanza kuchoka sasa😂😂😂😂👇👇👇👇 kisu imekaa mahala pake vp nikupe maji
 
1st of all, wacha panganga na kuweka uongo kwa mdomo yangu buda. Then secondly, nani alitaja S.A???? I said two river is the largest in East,West & Central![emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kiingereza hujui??? Ama uko na shida ukifikiria unahisi uchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Universities are ranked with performance & infrastructure not size! Niko sure hiyo Ya Dodoma imeshinda Harvard university but these are two worlds apart universities interms of education.

Sent using Jamii Forums mobile app
siku nyingine aje na evidence sio aongee kua Ku ni kubwa by land area na ukizingatia udom imeanzishwa 2007 hapo utaona tofauti
 
unapoongea toa na ushahidi sasa niletee economy ya nairobi na dar nasubiria source official tuanze hapo alaf tuchambue kimoja baada ya kimoja😂😂😂👆👆👆
 
Nilikusaidia tu kwamba ziko Mall kubwa bondeni kuliko yenu na wametulizana,ukubwa wa two river usiwape kiwewe sana,Even rock city mall yenye 50sqm iliwahi kuongoza ukanda huu we EAC kabla hata izo zenu kujengwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maendeleo ya kenya ni yap sasawakat most of you hata kazi Hamna na uchumi wenu uko kwa wadosi kadhaa tu wengi wenu mnafunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay you didn't have a comeback at Upperhill and Westlands and we're not even done yet😆😆
Kilimani, hit it.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I see umeanza kupinga facts! But I will make you eat your words. Naona unapinga...
*Education
*Business.
*Building infrastructure
Hya basi answer the following
1. Between Nairobi University & UOD which one has the highest performance rankings???
2. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Business surely!! Ebu jiulize how many international companies Hqs both regional & international are in Nairobi then compare it to Dar/Kampala/Addis/Kigali/Burundi. Alafu uniletee feedback.
3.Which City has the Most expensive, Modest, Sophisticated and Diverse building architecture in the region.

Ukijijibu hizo swali then you'll realize how behind you guys are.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa ni wapi naona ushaanza kuchoka sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kisu imekaa mahala pake vp nikupe maji
View attachment 854109
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Did you even get what i was talking about. scam bag?? I was busy addressing American & british architecture to Nairobi in relation to Dar's Useless architecture[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama huelewi kizungu uliza usaidiwe buda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…