ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,163
- 3,368
udongo huu mwekundu huwa unawaletea sana wakenya funza.unatuonesha udongo ndio under construction๐๐๐๐๐
hii ndio under construction๐๐
View attachment 836765
na siku ukithibitisha hapo ni dar nafunga account jamii forum๐๐๐๐๐๐City of Dar es sluum 1,590 kmยฒ
sikushangaa hukuona aibu nairobi kufananishwa na califonia๐๐๐๐dont u feel ashamed to compare that?
haya tuekee upperhill yote๐๐๐๐๐Hapo ni upperhill nusu,hakuna cbd,westlands,kilimani asante sana kwa maumivu dar itafika hapo 2050 usipoteze matumaini.[emoji23][emoji23][emoji23]
wanafanya installation ya Wifi systems na ukumbuke hio ndege ni mpya bado iko kwenye majaribio๐๐๐๐๐๐Nina swali. What happened to this 'god' , their dreamliner???
stop hating
Angalia britam nusu nyumba nusu mnara,the so proclaimed tallest building in NBOAsante kwa hasira[emoji23][emoji23][emoji23]
tuwekee upperhill peke yake bila kuchanganya.Hapo ni upperhill nusu,hakuna cbd,westlands,kilimani asante sana kwa maumivu dar itafika hapo 2050 usipoteze matumaini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaendelea hiyo ni robo ya Dar,hapo tumewapa makazi ya aina mbilj yenye muonekano tofauti estate pamoja na nyumba ambazo mtu hujenga kwa dizaini anayoitaka,,itapendeza na nyie machokoraa wa nairobi mkatuonyesha makazi ya aina mbili kama jinsi dunia inavyokwenda maana si wote wanaishi kwenye estateHabari za leo majirani leo nipo nairobi kuwasaidia maskini kila estate nitagawa vibora vya unga 1000
DAR CITY
Hizo ni baadhi tu bado kuna eneo kubwa sana la dar hatuna picha
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 837483View attachment 837485View attachment 837487View attachment 837488View attachment 837490View attachment 837492View attachment 837500View attachment 837501View attachment 837502View attachment 837503View attachment 837505View attachment 837506View attachment 837508View attachment 837509View attachment 837511
๐๐๐ density ya ilala pekee ni kubwa kuliko upperhill na westlandtuwekee upperhill peke yake bila kuchanganya.
dola kuu la afrika ya mashariki, manyang'au mtasubiri sanaTunaendelea hiyo ni robo ya Dar,hapo tumewapa makazi ya aina mbilj yenye muonekano tofauti estate pamoja na nyumba ambazo mtu hujenga kwa dizaini anayoitaka,,itapendeza na nyie machokoraa wa nairobi mkatuonyesha makazi ya aina mbili kama jinsi dunia inavyokwenda maana si wote wanaishi kwenye estate
DAR CITY
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 837522View attachment 837523View attachment 837524View attachment 837525View attachment 837526View attachment 837527View attachment 837528View attachment 837529View attachment 837530View attachment 837531View attachment 837532View attachment 837533View attachment 837534View attachment 837535View attachment 837536View attachment 837537
Kabisa watasubiri sana,,na hapo hata robo ya dar haijafika bado maeneo mengi makubwa hatuna pichadola kuu la afrika ya mashariki, manyang'au mtasubiri sana
na siku ukithibitisha hapo ni dar nafunga account jamii forum๐๐๐๐๐๐
ukhekhe umeshindwa kuthibitisha kua hapo ni dar๐๐๐๐๐๐๐๐
Dar CityCity of Dar es sluum 1,590 kmยฒ