Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aman abeid karume international airport terminal 2 under construction[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 825885View attachment 825884View attachment 825886View attachment 825887
Jengeni kama hii(JKIA, the aviation capital of EAC) niwaamini si kitu inakaa stoo ya makaa na mapati ya blue juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Currently the best airport in Africa & the Largest, Busiest & most developed airport in East Africa Mpende msipende JKIA ndio kuongea!!!
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Lakini konyagi umeshindwa jizuia...
Zile product nimeona za tz kenya ni konyagi haina ata mvuto kwa packaging so sijui watu hufikiria nini wakikunywa hio uchafu na azam energy (which nilikunywa na nikaipenda)
 
!!!
 
sisi tunajenga zaidi ya hio😂😂😂👇👇
terminal 3 dar es salaam
kiboko ya east africa
 
Zile product nimeona za tz kenya ni konyagi haina ata mvuto kwa packaging so sijui watu hufikiria nini wakikunywa hio uchafu na azam energy (which nilikunywa na nikaipenda)
Ww pita wima Kwan lazima unywe?
Mm product yenu nnayoitumia sana hadi Leo ni sabuni ya mche ya jamaa
 
the definition of a city depends with where you come from ichoboy. Sasa kama Iceland population yake ni 330,000 city zao unadhani size yake si ni kama mji wa Kondoa. For all I know, Nakuru and Kisumu ni kubwa kuliko Arusha
 
I have seen the photos and I am not convinced...If i am to move to Tanzania i would choose to stay in Arusha..Mwanza doesnt seem cool
hujaijua vzr mwanza ndugu yangu kuna siku utakuja kuijua tu
 
the definition of a city depends with where you come from ichoboy. Sasa kama Iceland population yake ni 330,000 city zao unadhani size yake si ni kama mji wa Kondoa. For all I know, Nakuru and Kisumu ni kubwa kuliko Arusha
😂😂😂😂leo umenichekesha sana
mm niko tayari twende kimoja kimoja arusha vs nakuru niko tayari hata sasa hvi
 
the balance of trade still favours kenya
No wonder the kenyan shillings gets stronger than Tsh....it was 1ksh-20Tsh recently & now 1ksh- 22ksh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] They keep losing value year in year out
 
the definition of a city depends with where you come from ichoboy. Sasa kama Iceland population yake ni 330,000 city zao unadhani size yake si ni kama mji wa Kondoa. For all I know, Nakuru and Kisumu ni kubwa kuliko Arusha
Arusha ni city kweli? Or kama wanadai ku compare Arusha with Nakuru basi tuangalie Economic status za zote mbili, yenye iko juu ya ingine basi ndio kubwa for what i know is Nakuru has the third largest economy in kenya apart from Nairobi & Mombasa So I dare the Tanzanians to bring out Arusha's economic status this year then we come to a conclusion!
 
ilete nakuru na arusha tuangalie kila kitu mm niko tayar twende step by step
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…