Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nko kimya naangalia but usiseme mmetuzidi coz bado sana.....nimepost miradi kibao sana
HahahaHahahahahah kwan ulikatazwa kueka ushaona maji ya shingo unaanza kutapatapa hahahahahah tulia kwanza tuendelee alaf tutahamia mwanza usiwe na haraka😀😀😀😀
 
argwings kodhek road
Ilo jengo halifiki ata fl 20 lakini akipost mkenya mnapita kimya,nmepost morroco square apa kaja mtu anataka kunimeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa hivi nyie jamaa mnawivu sana eeeh? Yani hamtaki kitu kizuri jiwe mbali na kwenu? Lakini mtakua na adabu tu
 
Tena aelewe morrococo square ni 22 floors 20 floors 17 floors na 14 floors
 
kama mnataka zenye ziko above twenty tuziesabu apa tuone vile tumewabwaga mbali...nmeeka iyo juu nmeona mwenzako ameeka ata za 9 floors apa
 
kama mnataka zenye ziko above twenty tuziesabu apa tuone vile tumewabwaga mbali...nmeeka iyo juu nmeona mwenzako ameeka ata za 9 floors apa
Asa nani kapost za below 20 of you are not the one?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…