Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rais Dkt @MagufuliJP amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani @WFP Bw David Beasley Ikulu jijini Dar es Salaam na kuomba shirika hilo la chakula duniani kuja nchini kununua mahindi baada ya wakulima kuvuna mahindi mengi. Sheila Simba on Twitter
 
Hiyo ndege ingekua nchi flani hapa east Africa, nchi ingesimama for one week wakijiandaa kulaunch. Magu Chuma kusifiwa for one month
tuna-celebrate kwa sababu ni ndege yetu,tumenunua kwa pesa yetu,kutoka kwenye mifuko yetu!!
sasa we unafikiri kitu cha kukodi nacho unaweza ku-celebrate??..??ndege ya "leasing deal"??afu ufurahie...mtaoneka mapuuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…