Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu amnyanganye hiki kijitu kinaitwa game over simu. Wewe kujadiliana na wewe ni kama kupiga story na BATA. Hii hapa ndio my last reply to you ever.

Napenda kujadiliana na watu wenye akili. Watu wenye kujielewa. Sio watu kijinga kama wewe. Do me a favor please, don't indulge me in anything you FOOL, ama tutamwambie maghufuli aufunge internet
 
Hatutumii hizo Isuzu tena man, we no longer belong there,
These modern commuters offers timely and comfortable transit.
View attachment 804948View attachment 804950View attachment 804951View attachment 804953View attachment 804954
Boaring News... Petty things amaze Tanzanians... Cool things amaze Kenyans sasa ulithani Bus za BRT ni Miujiza surely what is there in dar yenye hatujaona Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Ukweli unaujua mnatumia matatu izo buses kama si Za tour basi ni kwa kikundi flan maalumu sidhan kama ni for public transport
 
Haha ati nakuru,mbona nausiilete apa iyo nakuru
Btw Arusha got this one
Now naomba uniwekee Mall moja kali kutoka Nakuru,is even nakuru a city? Smh
 
Haha hasa lawama ziende kwa landlords ama?you should control that before majanga hayajatokea..iyo simple excuse I can't take it!!
Secondly kwann basi msiwe na mfumo rasmi cause even those shacks are parts of NBO they should follow terms &condition whenever they want to do some development accordingly so that mji ukue na respect yke. ..how can you ignore slums kama sii sehemu ya jiji ? Unataka tuende sawa tafuta namna nzuri yakunidanganya
 
TUUSAN nijibu.

Haya BRT mnayo. BRT kafika dar kwanza mbele ya NBO. Ni nini tena dar imeishindia NBO? Hakuna? Ipo??
TUUSAN your silence is golden! Hivi basi hakuna! Tufunge mjadala au LA?

Ama tuiweke on hold hadi mwaka mtapata hiyo bullet train. Juu so far (2018) bado hamuwezani na NBO
 
TUUSAN your silence is golden! Hivi basi hakuna! Tufunge mjadala au LA?

Ama tuiweke on hold hadi mwaka mtapata hiyo bullet train. Juu so far (2018) bado hamuwezani na NBO
Niletee Mall ya nakuru moja kuna maneno uliongea nataka uyaprove kwanza...Tutakaa sawa tu mbona hakuna shaka...nmekuwekea ya Arusha naona umekausha
 
At this rate, the repetition of pictures and comments will reach the planet Mars. Let's keep going.
 
Niletee Mall ya nakuru moja kuna maneno uliongea nataka uyaprove kwanza...Tutakaa sawa tu mbona hakuna shaka...nmekuwekea ya Arusha naona umekausha
Mimi naongea kuhusu NBO na dar. Wacha kuwa mtu wa kukwepakwepa TUUSAN
 
Ukweli unaujua mnatumia matatu izo buses kama si Za tour basi ni kwa kikundi flan maalumu sidhan kama ni for public transport
[emoji23][emoji23][emoji23] see how foolish you are Nairobi kuna kitu inaitwa Saccos apart from the Saccos kuna City Hoppers na NYS transit so its you to choose sasa What do you mean [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
By the way Big Up to JKIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…