Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hamna kitu hapo. unajua vigezo vinavyotumika ili nchi iwekwe kwenye kundi la ldc kweli?
kumbe wewe ni mtu wa porojo.... basi endelea na porojo zako since nipo busy sana mda huu...nipo site nasimamia one of my project. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
njia moja ya kukimbia kama mwizi wa baiskeli
 
endelea na porojo zako buda. you are entitled to think anything regarding me.

kwa sasa nipo site....hapa kazi tu.tafuta jobless mwenzio mkenya wa kupiga naye porojo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
endelea kupigwa na jua huko site. sisi tuko ofisini tunapigwa na a.c
 
njia moja ya kukimbia kama mwizi wa baiskeli
umeomba link umepewa kua tz sasa hvi haiko LDC bado wewe unataka nnπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nyie tunawajua siku nyingi sana hakuna mkenya anaeitakia tanzania mema never ever ndio maana tuta deal nanyie kisawasawa
 
kidonda eleven alipoona kiti kimekuwa moto
πŸ˜€πŸ˜€
 
endelea kupigwa na jua huko site. sisi tuko ofisini tunapigwa na a.c
sawa kanjo askari wa nairobi city council, tumekusikia.[emoji23]

ukimaliza kukimbizana na hawkers kwa street za CBD nitafute jioni nikununulie chupa kadhaa za beer. [emoji482] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
umeomba link umepewa kua tz sasa hvi haiko LDC bado wewe unataka nnπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nyie tunawajua siku nyingi sana hakuna mkenya anaeitakia tanzania mema never ever ndio maana tuta deal nanyie kisawasawa
screenshot pahali inasema Tz haiko ldc ulete hapa. unadhani kutoka ldc ni kuamka siku moja na kusema kuanzia leo sisi hatuko ldc?? sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…