Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wasee wa kung'ang'ana mashinani.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wapi wamesema Dar ina ghorofa mingi kuliko Nairobi, kingereza kama kawaida kinakuchenga.
wapi wamesema nairobi kuna real estate nyingi kuliko darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani nairobi ishindane na dar kwa magorofa nenda kapimwe mkojo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Jay456watt huyu ndugu yako alikiri na kukubali ukweli
 
awamu hii lazima wakenya wataisoma namba. walizoea kutuibia tanzanite yetu. shenztype.

viva tanzania...asante sana rais wetu JPM.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
sawa chokoraa endea kujifariji[emoji2] [emoji2]
 
it's day three and kenyans are still discussing ichoboy's car and iPad. smh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ni zero kabisa hawa majamaa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Uyo comedian anatumia kiswahili mbele ya hao wazungu kujoke ama?
 
wapi wamesema nairobi kuna real estate nyingi kuliko darπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani nairobi ishindane na dar kwa magorofa nenda kapimwe mkojo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Jay456watt huyu ndugu yako alikiri na kukubali ukweli
estate zenyewe Hamna...ama ni kigamboni ndio mnajivunia
 
Uyo comedian anatumia kiswahili mbele ya hao wazungu kujoke ama?
anaitwa kaptain khalid.
ni international comedian from tanzania.
he is a multilingual person. he can speak german,english and kiswahili.

another question please. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

btw. hakusoma kenya....amesoma tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…