Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni Mombas so Ukipata kama hii Dar niatagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/05/236290_fa4c6c60a4807b8d5c169b18df61cf11.jpeg
hehehe mwanza hio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Today Let's Compare Dar's artitecture vs Nairobi ama unaonaje... Za Nairobi hizo Rusheni za Dar alafu Tutor conclusion...
 
kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

tanga babyπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ichoboy Tanga ni mji nambari ngapi kwa ukubwa Tanzania. Halafu swali la pili,,tafadhali kama ni sawa na wewe, nipe orodha ya miji minne Tanzania kuanzia ule mkubwa zaidi hadi ya nne au hata ya tano.
 
Ichoboy Tanga ni mji nambari ngapi kwa ukubwa Tanzania. Halafu swali la pili,,tafadhali kama ni sawa na wewe, nipe orodha ya miji minne Tanzania kuanzia ule mkubwa zaidi hadi ya nne au hata ya tano.
tanzania ina majiji sita sasa hvi
dar es salaam
mwanza
arusha
mbeya
tanga
dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…