Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

anaitwa najib balala waziri wao wa utalii aliwaambia kua wanashindwa utalii kwasababu wana hoteli za miaka 40 iliopita wakat tanzania kuna modern hotelsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Rudia ivo bila kulia izo hoteli mnashindanga mkiimba uku kumbe ni lodgingπŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Picha huwa hazidangayi aisee
 
Sasa tukiongea zenye ziko njiani ata usitaje na zote ni international brands kama
Marriott's 35flrs u/c( avic hotel)
Hilton 45flrs u/c pinnacle tower 2
Na zingine mingiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nakwambia za mwaka huu we unaongelea amabzo msingi inachimbwa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Rudia ivo bila kulia izo hoteli mnashindanga mkiimba uku kumbe ni lodgingπŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Picha huwa hazidangayi aisee
kumbe nairobi nzima kuna 4 hotels with 5* heheh nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ alaf muntaka kutunisha misuli kwa dar
 
Sasa tukiongea zenye ziko njiani ata usitaje na zote ni international brands kama
Marriott's 35flrs u/c( avic hotel)
Hilton 45flrs u/c pinnacle tower 2
Na zingine mingiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hehehe tunaoneshwa mpaka render ya pinnacle mbona umesahau na montave na ile nairobi 88πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
wapi render onesha plz
 
hehehe tunaoneshwa mpaka render ya pinnacle mbona umesahau na montave na ile nairobi 88πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
wapi render onesha plz
Hawa jamaa hutakiwi kuwaamini. They are too fake.
 
hazizidi 5
Five star nairobi ni zaidi ya tano
Kempinsky villarosa
Sankara hotel
Radisson blue
Lazizi premire
Boma hotel
Eka hotel
Intercontinental hotel
Sarova stanley
Fairmont
Hemingways karen
Crown plaza hotel upperhill
Baadhi ya izi nilizo taja international nrands ni 6
 
umechanganyikiwa enhhπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
leo umekunywa gongo naonaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hiyo ni budget hotel si five star
Tumekeambia uweke 5 star. Kijana mbona hujielewi. Weka 5 star nasi tutathibitisha. Hatutaki uongo humu. Hii siyo JamiiForums.com, huko mnalishana uongo uongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…