Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndio tanzania, mother of africa
Nyote(Namibia na Tanzagiza)mlitawaliwa na Mjerumani sasa sijui vipi nyie mkabaki LDC? Elezea tafadhali bila kusahau 90% ya Namibia ni jangwa( The Namib Desert and the Skeleton Coast).
 
 
Ati hiyo sasa ni High End Neighborhood.
ToangomaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
This is one of the reasons why they'll NEVER bring aerial photos of their residential phogos on this forum hata kwa dawa. Wanajua jinsi mitaa zao vilivyochoka na kuparara. They will spend the whole day bringing selected photos of decent houses and call them dream houses wakati ukweli wa mambo ni kama hiyo picha hapo juu. Huu mji ni wa kijinga sana!!!!
 
So leo Nyalenda imetoka Kisumu ikaja Nairobi!! Yaonyesha kwamba hujui unalosema. And since when did these estates become slums: Kayole, Pumwani, Baba Dogo, Makongeni, Soweto, Kawangware etc etc? Some of these estates here huwezi afford kulipa rent ya nyumba.
 
Badala ya kuishia kujifariji vyema ungemuuliza hapo ni umbali gani kutokea city centre. Hayo ndio maeneo watu wa Hali chini huishi badala ya jalalani kama wale wa kibera.
 
Hawa watu wanalazimisha Punda awe zebra kwa kumpaka rangi. Ndugu yangu punda atabaki kuwa punda tu hata ulazimishe aje! Hawa watu wako na vituko in the namw of estates. Just look at how organized Langa'ata estate looks. It's adorable compared to that thing called "Vituko"
 
Yaani hii ni High End Neighborhood DarπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tandika



Hata Buruburu imeshinda hii mara mia na Buruburu haijanusa hicho kiwango cha High endπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Buruburu
And mind you Buru Buru was built in the 70s and still looks stunning to date! Hii mambobya kupanga estates tulianza kitambo wakiwa bado wamepotea ndani ya ujamaa
 
Baba Dogo - Nairobi




 
Badala ya kuishia kujifariji vyema ungemuuliza hapo ni umbali gani kutokea city centre. Hayo ndio maeneo watu wa Hali chini huishi badala ya jalalani kama wale wa kibera.
Hakuna cha kujifariji hapa ndugu. Kubali tu kwamba estates zenu ni upuzi
 
The funny thing is that they'll bring thousands of photos of Kibera on this forum without knowing that they have worst versions of kiberas in their estates. Can't see the difference between that estate above vingunguti and Kibera. Is there?
 

πŸ˜€
πŸ˜€
πŸ˜€
πŸ˜€
 
Hii Ukonga sasa ni high end neighborhood Dar es SalaamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ukonga


Hapa Komarock yetu hata haikaribii hiyo ligi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
And Komarock is in the heart of eastland, a low to medium income area.
 
Wah Wah Wah! Yaani Chanika tena ni High end.

Ona palivyochanika.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe unafikiri ni kwanini mtanzania hawezi leta picha ya angani hapa? Wanajua vile mitaa zao zilivyochoka na kukosa mpangilio. Eti hiyo ni myaa ndani ya jiji. Aibu ulioje!
 
Nyote(Namibia na Tanzagiza)mlitawaliwa na Mjerumani sasa sijui vipi nyie mkabaki LDC? Elezea tafadhali bila kusahau 90% ya Namibia ni jangwa( The Namib Desert and the Skeleton Coast).
south africa, mozambique, zimbambwe, rwanda na burundi, congo, angola hujaziona au hujui historia
 
Badala ya kuishia kujifariji vyema ungemuuliza hapo ni umbali gani kutokea city centre. Hayo ndio maeneo watu wa Hali chini huishi badala ya jalalani kama wale wa kibera.
Mwenzako amesema hizo ndio high end neighborhoods za Dar.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Halafu huku Nairobi Estates zilizo mbali na jiji ziko sawa hata kushinda nyingi zilizo karibu na jiji.
Thika Greens - 50km from CBD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…