Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi is a city and a county with its own government. Huku hatuna kata, tuko tu na estates au mitaa kwa lugha ya kiswahili. Huku kwetu Kenya kata zinapatikana vijijini, sio mijini
Ujinga haukai mbali na nduguye abadani, nini hii umeandika!!!!!!!
 
[emoji23][emoji23]duuh kaka umetisha
 
[emoji23][emoji23]duuh kaka umetisha
Yaani tukianza kuonesha kila eneo hapa tutapoteana kabisa. Yaani ukiwagusa kidogo tu wanakimbia. Huwezi kuwaona tena.
 
Yaani tukianza kuonesha kila eneo hapa tutapoteana kabisa. Yaani ukiwagusa kidogo tu wanakimbia. Huwezi kuwaona tena.
Kinyerez ziko nyumba kule ni balaa nilifika uko nkapenda
 
Wewe wacha kunichekesha. Watu tunalist High End Neighborhoods wewe unalist tu kata huko Dar. To make matters worst most of what you've listed are slums unataka ulinganishe na high end neighborhoods nilizokupa Nairobi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yombo Vituka
 

Ati hiyo sasa ni High End Neighborhood.
ToangomaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
High end estate ya Dar hiyo.

VijibweniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ati Temeke Slum sasa imekua high end neighborhood ya kulinganisha na Muthaiga.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Temeke
 
Kwanza hiyo picha umeitoa wikipedia na inaonesha kabia hiyo ni mwaka gani.
Yombo Vituka - Wikipedia

Mauya Executive - Yombo vituka Dar es salaam

 
Ati Temeke Slum sasa imekua high end neighborhood ya kulinganisha na Muthaiga.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Temeke
Huoni hata aibu. Wapi Slum hapo? Nimekupatia maeneo yote ya Dar wewe weka picha uweze kuringanisha na huko kwenu.
Nairobi Slums:-
  1. Kibera
  2. kayole
  3. Dandora
  4. Baba Ndogo
  5. Fuata Nyayo
  6. Huruma
  7. Kawangware
  8. Kangemi
  9. Kiambiu
  10. pumwani
  11. Gatwekera
  12. Kambi Muru
  13. Kangemi
  14. Kianda
  15. Kichinjio
  16. Kisumu Ndogo
  17. Laini Saba
  18. Lindi
  19. Makina
  20. Makongeni
  21. Mashimoni
  22. Mugumoini
  23. Raila
  24. Sarang'ombe
  25. Shilanga
  26. Siranga
  27. Soweto East
  28. Soweto West
  29. Korogocho
  30. Majengo, Nairobi
  31. Matopeni
  32. Mathare
  33. Mathare Valley
  34. Mukuru kwa Njenga
  35. Mukuru slums
  36. Nyalenda
  37. Ziwa la Ng'ombe
  38. Kenyatta University Slums
 
Kwanza hiyo picha umeitoa wikipedia na inaonesha kabia hiyo ni mwaka gani.
Yombo Vituka - Wikipedia

Mauya Executive - Yombo vituka Dar es salaam

Dude one decent house does not make a slum a high end villages - to make matters worse it's a hotel - mauya hotel lol. There are Estates in Nairobi like Lang'ata where the worst building is better than this yet I haven't listed them as high end. Wewe unajua high end ni nini?

Yombo Vituka



Lang'ata



Alafu unasema Yombo Vituka ni High End yet Lang'ata hata haijafika hicho KiwangoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kweli Dar hamjaona High End Neighborhoods. Niliwaambia ni Oyster Bay, Mbezi, Mikocheni na labda Msasani pekee.
 

Yaani hii ni High End Neighborhood DarπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tandika



Hata Buruburu imeshinda hii mara mia na Buruburu haijanusa hicho kiwango cha High endπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Buruburu
 

Yaani vingunguti ni high end neighborhood in Dar es Salaam. Wallai leo nimecheka sana.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Ebu linganisha huo uchafu na Nairobi West - Mtaa wa muhustler wenye hauwezi karibia high end hata Kidogo.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nairobi West

 
Yaani hii ni High End Neighborhood DarπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tandika



Hata Buruburu imeshinda hii mara mia na Buruburu haijanusa hicho kiwango cha High endπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Buruburu
Hizi ndio nyumba wanazojenga wakenya low class si ndio???
 
Yaani sasa Upanga ni high end huko DarπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Ebu linganisha na South C ambao haufai hata kutajwa mbele ya high end neighborhoods.
 

Hii Ukonga sasa ni high end neighborhood Dar es SalaamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ukonga


Hapa Komarock yetu hata haikaribii hiyo ligi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Lakini Annael nilidhani wewe ni IT expert. Yaani hivi na uexpert wako umekaa chini ukaona Pugu ni high end neighborhood? Si nimekueleza High end neighborhood Dar ni nne - addor take 1. O'bay, Mbezi, Mikocheni na Msasani?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Pugu hiyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…