Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

not less than 38
 
Wewe umehesabu ukapata ngapi? Tuwache ubishi za kijinga. Hilo jengo ni 35 floors na aliye na macho hapaswi kupinga hilo
 
chukua pesa leta nyumbani fungua kiwanda toa ahira kwa vijana ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
times haizidi 30fl we usitufanye sisi wajinga sana
na hili swala la times tower lishazungumziwa humu mara nyingi sana
Wewe unaishi mwananyamala Dar mimi naishi Nairobi sasa mbona tubishane? I have been to the 35th floor of that building so usijifanye unajua kuhusu hilo jengo kuniliko mimi mkaazi wa Nairobi. Kama nimekupa links tatu usome na bado unapinga sasa unataka aje?
 
hesabu vzr usiwe mjinga kwenye kila kitu, usifkiri kila siku ni ijumaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ nakwambia times haitakua na 38 mpaka yesu anashuka hakuna mtanzania mjinga
 
hesabu vzr usiwe mjinga kwenye kila kitu, usifkiri kila siku ni ijumaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ nakwambia times haitakua na 38 mpaka yesu anashuka hakuna mtanzania mjinga
Kukubali ni hiari yako ila ukweli Itabaki pale pale mpaka Yesu arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ