Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha Hilo litawachukua miaka 20 mbele
Ajabu wanakuambia wanawatumiaji wa Internet wengi kuliko Tanzania
mwenye angalau ni Citizen tv
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu mwenye subscribers wengi zaidi Kenya ni watu laki nne
 
Hii kama ni TZ uzinduzi ungefanywa na RAIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…