Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/04/231411_dd57ac17d3212c20abc748fb4b8f3c61.jpg
 
Kaitoa huku huyo, cha ajabu ameshindwa kuona tofauti ya hao wasomali na polisi waTz, naamini hajashindwa ni kawaida ya waKe kuipaka matope Tz

Tanzania- Magufuli Madness


Wewe ushawahi ona number plate za Somalia zikiwa yellow? Wewe mwehu nini? Hivi hata hamjui Tanzania is the only East African country with yellow front number plates? Nyinyi watu mna shida, hamsomi hamtembei.
 
Wewe ushawahi ona number plate za Somalia zikiwa yellow? Wewe mwehu nini? Hivi hata hamjui Tanzania is the only African country with yellow front number plates? Nyinyi watu mna shida, hamsomi hamtembei.
Mwehu mama yako. Fananisha nguo za hao unaosema ni askari wa Tz na hao wengine. Nimetembea kuliko wewe ng'ombe mkubwa wewe!
 
Al shababuu with RPGs


Jeshi la polisi tz πŸ˜€πŸ˜€
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/04/231410_d8c3bc5a680421059be17d99668c5be0.jpg
 
Wapi maandishi ya kiarabu kwa hiyo yellow number plate ya tanzania?πŸ™πŸ™
kila yellow plate number ni ya tanzania hata kama inamaandishi ya kiarabuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kaitoa huku huyo, cha ajabu ameshindwa kuona tofauti ya hao wasomali na polisi waTz, naamini hajashindwa ni kawaida ya waKe kuipaka matope Tz

Tanzania- Magufuli Madness
kumbe kaitoa kenya talk hahaha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe ushawahi ona number plate za Somalia zikiwa yellow? Wewe mwehu nini? Hivi hata hamjui Tanzania is the only African country with yellow front number plates? Nyinyi watu mna shida, hamsomi hamtembei.
zimbabwe iko eurpoeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hii plate number ya tanzania leo nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wewe ushawahi ona number plate za Somalia zikiwa yellow? Wewe mwehu nini? Hivi hata hamjui Tanzania is the only African country with yellow front number plates? Nyinyi watu mna shida, hamsomi hamtembei.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/04/231411_dd57ac17d3212c20abc748fb4b8f3c61.jpg
Kumbe ndio kiforum chenu kile[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa akili yako nawe umeona ile ni Tz
yaani Polisi watanzania akavaa kiremba kicbwani?

Nimeona kuna mmoja kauliza mbona hamja mjibu
 
Sasa sio za kiarabu tena ikabidi utafute hadi zimbabwe to prove a point?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2018/04/231409_059533fb21246cfd4e5cd901f5094fb3.jpg
nieleze leo hakuna kuzuga hii ndio plate number ya tanzania ama kweli leo nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…