Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya punguzeni matani hapo ndio manajenga sehemu za mashabikiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiwashwa na nakuru kuizidi dar kwa miundo mbinu jikuneπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
kwa sasa naona imekua dar vs nairobi+msa+nakuru πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

sasa ile picha ulitaka kutuambia ni nakuru????πŸ˜›πŸ˜›
hebu sema nikuwashie moto sasa hvi
 
wakenya endeleeni kulia tu tusaanza kusambaza mabomba ya gas jana kuelekea majumbani

 
kwa sasa naona imekua dar vs nairobi+msa+nakuru πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

sasa ile picha ulitaka kutuambia ni nakuru????πŸ˜›πŸ˜›
hebu sema nikuwashie moto sasa hvi
Na badoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…