BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Ndio maaana unatokea kwa nchi yenye illiteracy level iko high...hiiii ujinga ya kuleta news from sources uchwara huwezi kuona kwa forums zingine...ni hapa tu kwa wajinga reloaded.3million nairobi population wanaishi kwenye slums
Kisu cha ngariba kimepita kwenye sciatic nerveHuu utoto wako utaharibu hii thread ionekane ya kipuuuzii.
Remember watu wengi wanafwatilia ata from West africa mybe.
Behave Well.
Wakenya hatutambui ugonjwa inaitwa UTOTO.Kisu cha ngariba kimepita kwenye sciatic nerve
Pole!
Kuna ugonjwa unaitwa utoto?Wakenya hatutambui ugonjwa inaitwa UTOTO.
Nimeuona tanzania pekee..tena miongoni mwa wanaume wazima.Kuna ugonjwa unaitwa utoto?
Pole! Mkiambiwa ukweli mnasema utoto,rubbish!Nimeuona tanzania pekee..tena miongoni mwa wanaume wazima.
Ukweli mkipewa hamtaki mnataka kuwa mnasifiwa ujinga😉😉Ndio maaana unatokea kwa nchi yenye illiteracy level iko high...hiiii ujinga ya kuleta news from sources uchwara huwezi kuona kwa forums zingine...ni hapa tu kwa wajinga reloaded.
sawa.Pole! Mkiambiwa ukweli mnasema utoto,rubbish!
Upperhill na downtown kibera ni pua na mdomo aiseeeeeh!
Even kiberians enjoy the view of britam and prism!
so ulikua hutaki niitaje upperhill japokua inaonekana we vp ndugu😀😀😀😀Huu utoto wako utaharibu hii thread ionekane ya kipuuuzii.
Remember watu wengi wanafwatilia ata from West africa mybe.
Behave Well.
hahhaha umeumia sana 😀😀😀😀 hupendi ukweliNdio maaana unatokea kwa nchi yenye illiteracy level iko high...hiiii ujinga ya kuleta news from sources uchwara huwezi kuona kwa forums zingine...ni hapa tu kwa wajinga reloaded.
Upper hill iko poa lakini Kwa kupakana na kibera naipa big no!sawa.
show me slums in that Upper Hill picture.
Woow MIGHT NAIROBI [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85][emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️ulichofanya ni kupiga picha kutokea upande mwingine,namimi nachagua upande wa kukuonyesha.
Upper Hill haiko karibu na kibera. Ukitaka kujua ukweli ingia Google earth uone vile kibera iko mbali. Just like the name implies, Upper Hill iko on a slightly hilly part of nairobi so mtu akipiga picha kutoka kutoka maeneo ya chili kama kibera lazima atacupture the tall buildings of upperhill. If you looked at that picture carefully, you'll realize that only taller buildings in upper hill are captured in that shot, meaning mpiga picha alikuwa mbali sana na eneo la upper hill. As I said, ingia google earth uone vile kibera iko mbali na upper hill. Najua mnaogopa kuingia google earth lakini ingia tu ujioneeUpper hill iko poa lakini Kwa kupakana na kibera naipa big no!
It will take along time for it to challenge sandton!
maghala ya taifa ya kuifadhia chakula. tupo vizuri kwenye food security.@ichoboy1 eti waziri mkuu yuko dodoma ana weka jiwe la msingi la nini vile
Might Dar es salaam [emoji119] [emoji119]Dar es salaam
Haha notes mob za ujingaUpper Hill haiko karibu na kibera. Ukitaka kujua ukweli ingia Google earth uone vile kibera iko mbali. Just like the name implies, Upper Hill iko on a slightly hilly part of nairobi so mtu akipiga picha kutoka kutoka maeneo ya chili kama kibera lazima atacupture the tall buildings of upperhill. If you looked at that picture carefully, you'll realize that only taller buildings in upper hill are captured in that shot, meaning mpiga picha alikuwa mbali sana na eneo la upper hill. As I said, ingia google earth uone vile kibera iko mbali na upper hill. Najua mnaogopa kuingia google earth lakini ingia tu ujionee