Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanzania yafuta ushuri wa mchele rwanda na uganda na sio kenya so wakenya ushuru uko pale paleπŸ˜€πŸ˜€
asante uncle magu kaza bado
 
Westlands from the sky 2015πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
bado sana ndugu yani bado sana density ya ilala tu pekeake uper hill haiweziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani hio picha naona mpaka uperhil pamoja na CBD kwa pamoja hehehe
 
Kenya iko mbali ukilinganisha na Tz...we dont share a border and Kenya is tooo fast for Burundians.
so lugha ndio kigezo hvi we mbona siku zote unakua mpuuzi sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wazungu wanakwenda china kutembea wachina wanaju english???
 
so lugha ndio kigezo hvi we mbona siku zote unakua mpuuzi sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wazungu wanakwenda china kutembea wachina wanaju english???
Wakenya sio wazungu na tanzania sio uchina.πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
sIO KAMA ILE 92% SLUUM.. HEBU ANGALIA YENU VILE IMESHIKANA
Mwasi mbishi kila siku tunakwambia sio Tiz hapo bado ung'ang'ania ama kweli nchi yenu ndiyo maana hamuelewani Kikuyu vs Jaruo in failed state
 
Respect those Kenyans that feed you boy! Si umeona sissi hatuji kwenu kuomba omba.πŸ˜€πŸ˜€
uhahahaha yani munaleta pesa tanzania na kutengeneza ajira tanzania na pia kodi inapatikana asanteni sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ naona siku hzi mombasa na lamu hakuna beachesπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
uhahahaha yani munaleta pesa tanzania na kutengeneza ajira tanzania na pia kodi inapatikana asanteni sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ naona siku hzi mombasa na lamu hakuna beachesπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Shukuru ati mpaka omba omba wenu wanazungusha vijibakuli Kenya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…