Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na mukitaka kuamini Tanzania inakwenda kwa speed ya harari angali budget ya 2017/2018 ya Kenya na Tanzania utaona tofaut kubwa sana jamaa wamekomba pesa zote wamepeleka kwenye uchaguzi hhhahaha wanaomba msaada wa billion 600 Kenya shs heeehehh middle economy hio?????? Someni budget ya Tanzania muone mambo yaliyomo humo
 
Nai slum pop=50%
Dar slum pop=70%
Mimi sina time ya kutaja maslum hapa..ata ngoma ya rayvanny yenyewe uonyesha slum ovyo ata kibera better.....alafu nlikusho unipee innovation yoyote ya tz nategea hadi wa Leo.
Aibu kabisa unazijua slum za kibera au unaongea hivi huko shuleni ulienda kula kaukau
 
Kangemi, Nairobi Kenya
 
Na mkiitwa wajinga mnaona ni kudharauliwa mnadharauliwa?

Annael, saidia huyu.
 
Naona dar imewatoa povu niliwaambia dar kmekusanya nairobi mombasa na kisumu zote ziko ndani ya dar hawataki kuamini
 
We hata hujui kenye unasema chapa screenshot ama utume references
 
Hawa Ethiopia wajanja sana wameona jamaa wanaingia kwenye uchaguzi sasa itakua vita kwao na hua wanauwana kama 2 years, kaona aje mapema kutumia port of dar es salaam, rafiki kakimbia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakenya wameshikwa pabaya [emoji80] [emoji80] [emoji80] [emoji80] [emoji80] [emoji80]
 
We hata hujui kenye unasema chapa screenshot ama utume references
Ahahahhahha nilituma link ya budget yenu naona ulipita wima hahahhahaaahhaha katazame page 400 mpaka 412 ahahah utaikutaπŸ˜€πŸ˜€
 
F*ck u.....wish ungejua kingereza usome hii uelewe na uache kutumia Makalio kufikiria
Kijana nikianza kutukana humu huu Uzi nitauchafua na wala hautakalika kwahiyo chungasana vidole vyako idiot
 
F*ck u.....wish ungejua kingereza usome hii uelewe na uache kutumia Makalio kufikiria
Unaleta ujanja hapa onesha full unaficha mwaka ahahahhaaha tushapita zamani huko sisi tumekwambia tunataka link ya 2016 au 2017 ilete hapa subutu yakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ahahahhahha nilituma link ya budget yenu naona ulipita wima hahahhahaaahhaha katazame page 400 mpaka 412 ahahah utaikutaπŸ˜€πŸ˜€
Kenya's budget=tz+ug+Rwanda
Nashuku huna makende nugu hii...chanuka man na uache ufala
 
Nauliza mbona mko na apartment nyingi sana?real estate mingi sana ni possible kununua umiliki au it's for renting only?
Then I see huge gap between rich and poor...such a huge gap like what capitalist country offer,Kwa nachokiona it's a matter of individual effort sasa kujitoa kwenye ilo dimbwi la huo umaskini....yaonekana kabisa Kenya ni nchi masikini sana sema umasikini wenu umemezwa as matajiri wachache...ujamaa ni mzuri na mbaya pia lakini nyie mko na gap kubwa sana ....haipendezi hata kidogo mko na mitaa classic kabisa alafu kuna group kubwa la watu ndani ya mji huohuo wanaishi kma wanyama.....you have nothing to be proud of
 
Unaleta ujanja hapa onesha full unaficha mwaka ahahahhaaha tushapita zamani huko sisi tumekwambia tunataka link ya 2016 au 2017 ilete hapa subutu yakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Haha iyo ni ya 2016...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…