Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmetoka kwenye infrastructure mnatuletea watu.! Kenyans dont be fools. Alafu kwa sifa mnaleta wavuta shisha bila kujua adhari yake kiafya. So stupid kwakutualiabia thread. Hapa sio Naira land
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
Mulisaa stop being salty. My posts are within the guidelines Annael ameprovide. So kula shida babaaaa. Then I am posting kila kitu, cant you see the infrastructure pictures??
 
Mmetoka kwenye infrastructure mnatuletea watu.! Kenyans dont be fools. Alafu kwa sifa mnaleta wavuta shisha bila kujua adhari yake kiafya. So stupid kwakutualiabia thread. Hapa sio Naira land
Hata Nairaland tunatawala pamoja na Somalispot.
 
duhh jamani 😱😱😱😱😱
Wanashindwa kuleta picha za chini zenye ushahidi kama hizi, wamebaki kuokoteza picha za aerial views toka DRC na Burindi na kuzileta hapa, ukiona hivyo ujue wameshajua kwamba Dar ni kiboko yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…