joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa mbona ninyi ndiyo mumejazana na mnakimbilia kuja Bongo, Magufuli akiwafukuza mnasema Kenyans are targeted, mumeruhusu watu kuja kuishi bila kupata working permit, sisi tumekataa, ninyi ni Mexico, huku ni USA.Huku ni ulaya yao, kwani umesahau baba yao nyerere alivosema? Mtanzania akija kenya anarudi nyumbani kuambia kila mtu
Tell them this is not thika rd.. very differentOuter-Ring road.
Took these pictures on Sunday
View attachment 713783 View attachment 713784 View attachment 713785 View attachment 713786 View attachment 713787 View attachment 713788 View attachment 713789 View attachment 713791
Danganya mwingine. Hakuna mtanzania anayemiliki ardhi tanzania nzima. Kinachofanyika ni kwamba mnakodisha ardhi kutoka kwa serikali ambayo ndo inamiliki ardhi zote Tanzania. Ukikodisha kitu utasemaje unaimiliki?ujaelewa kuku ndio maana unaambiwa kila mtanzania anamiliki ardhi ndio hivyo
Kwasababu hamna chenyu..Mimi nimeongezea tu katika list yako uliyoandika, sikuwa na lengo la kujibu kile ulichoomba wewe
mnazidi kukaza zaidi ila hamjafikia NairobiHaha Hamna mtu anachukia nbo, hatutak ujinga ujinga wakudanganya watu nbo ni kitu cha maana kuzidi Dar ,wkat Dar imesimama na ukucha na tunazidi kukaza zaidi
can you prove these claims by bringing sourcea of information of where you got them?But you die of hunger, the economy is collapsing, no jobs, no enough tap water, highest crime. How does this help you as citizens?
Tunakunywa Tanga fresh,dar fesh,azam,asas ....Omo imebaki story tunatumia fomagold...sikuhiz nikienda mall natungua mali za home kwanzaHata maziwa wanayokunywa inatoka kenya na sio big deal kwetu
Hapa nawasapoti. Wapigeni tu hao hakuna namnarespek!
KWA kipi??? Mlichonacho????mnazidi kukaza zaidi ila hamjafikia Nairobi
Nairobi ipi tena Au ziko mbilimnazidi kukaza zaidi ila hamjafikia Nairobi
Miami reincarnated hahahaOMUKIJIJI
View attachment 713809
Tell them this is not thika rd.. very different
Huna unalojua nenda katafune miraa,Danganya mwingine. Hakuna mtanzania anayemiliki ardhi tanzania nzima. Kinachofanyika ni kwamba mnakodisha ardhi kutoka kwa serikali ambayo ndo inamiliki ardhi zote Tanzania. Ukikodisha kitu utasemaje unaimiliki?
Hii Nairobi moja tu, the most important city in east and central AfricaNairobi ipi tena Au ziko mbili
HIZO NI NDOTO HUKO TANZANIA........THEY CAN ONLY MANAGE 50 metres ....Lol
Najua inauma japo ni ukweli. Ugua pole kakaHuna unalojua nenda katafune miraa,
labda ujui maana ya kukodi na kumilikiDanganya mwingine. Hakuna mtanzania anayemiliki ardhi tanzania nzima. Kinachofanyika ni kwamba mnakodisha ardhi kutoka kwa serikali ambayo ndo inamiliki ardhi zote Tanzania. Ukikodisha kitu utasemaje unaimiliki?