Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

the only longest and modern cable stayed bridge in east and central africa😀😀😀😀
 
Hebu nionyeshe interchange inakaaje?nionyeshe hio ya ethiopia alafu naomba nipe jina ya hizi hapa



Unawaumiza bana, such a project in Tz would elicit lots of emotional breakdown among s the citizenry
 
Hebu nionyeshe interchange inakaaje?nionyeshe hio ya ethiopia alafu naomba nipe jina ya hizi hapa



Imeelezwa vizuri katika wikipedia, soma uweze kutofautisha kati ya interchange na flyover, usichanganye kama mnavyofanya sasa hivi, hiyo ya Tanzania sio interchange, na Kenya hakuna interchange, ile ya Ethiopia ipo you tube, na Ghana wanayo moja you tube.
 
welcome to nairobi








 
😀😀😀 una picha ya hio ya ethiopia ama maneno tu,
kama hauna basi tuma renders za hio inataka "kujengwa" tanzania
 
Jobless leo umeingiza shillingi ngapi??
 
as i expected, nio kuropokwa tu. hata hujui maana ya interchange lol
ukikuja nairobi unafaa kuchunga sana kama utakuwa una drive maana interchange itakuchanganu=ya kwelikweli

 
lazima tutaheshimiana tu...na bado Kigali-Isaka hapo October. Na pia bado phase III na Phase four na five (Makutupora-Tabora, Tabora-Isaka na Isaka-Mwanza.
 

Attachments

  • DYFJzbtX0AAzg5i.jpg
    100 KB · Views: 51
  • DYBF5dVXcAA9HOl.jpg
    79.9 KB · Views: 42
  • DYFJvClXkAAYz1C.jpg
    126.3 KB · Views: 44
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…