Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wamekoja hoja sasa wanalia tu muda wote mwengine anatuma picha akilazmisha iwe dar 😀😀😀😀 ilimradi wasionekane kuzidiwa ama kweli tanzania sio ile ya 90s na tulitegemea haya kutoka kwa wakenya😛😛😛
 
Leo umejiabisha sana unaleta profit ya KCB 19 milllion na crdb profit yake ni 2 billion kes...unajiabisha..all top 10 banks in kenya are more profitable than crdb and your netherlands bank NMB
Kisa tanzania inakenga sgr kwa pesa zake tena two phases kwa pamoja 722km cost of 3.16b usd
 
Nyeri usiwai linganisha na DOdoma hapo ni kwa kibaki utaaibishwa...ata Karatina Market in nyeri pekee itakusumbua akili
Tuanze hapa mm na wewe lets go acha porojo bwege wewe unafkiri dodoma ni ile ya 90s jaribu uone 😀😀😀😀😀
 
Leo umejiabisha sana unaleta profit ya KCB 19 milllion na crdb profit yake ni 2 billion kes...unajiabisha..all top 10 banks in kenya are more profitable than crdb and your netherlands bank NMB
Pesa zimeingia matakoni kwa watu 10 heheheh 500b ksh aisee muna laana kiukweli
[
 
mwarabu iyo ni web ya tz....wewe endelea kusoma citizen,ktn na ntv ntashukuru
Hahaha unaeka link na haifunguki we vp😀😀😀😀😀😀 umekosa hoja sasa
Masikini kenya is broke pesa hakuna ila watu wanaimba GDP😛😛😛😛
 
As well, Kenya ranked Third most popular rich investment destination world wide..For our counterparts, hamtaelewa hili na sitegemei muelewe. You will never understand Kenyans.

 
Dar es salaam Gymkhana Grounds
 

Attachments

  • _20180310_002014.JPG
    11.9 KB · Views: 48
  • _20180310_002049.JPG
    6.7 KB · Views: 35
  • _20180310_002118.JPG
    9.1 KB · Views: 45
  • _20180310_001953.JPG
    13.5 KB · Views: 43
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…